Asante sana kwa ushauriRock City Hotel iko jirani na mlima Mkomaindo panafaa sana.
Gharama nafuu.
Uko masasi mtaa gani?Nenda Katani lodge..mpya ipo nyuma ya soko la tandale..hakika utaenjoy..karibu masasi.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28][emoji28] mtaa wa masasi mbovu..wote imejaa lodge.ukifika mjini pale lodge zimejipanga mpaka TK unachagua unayotaka...
ila hizi booking utadhani unaenda cape verde mkuu
mbona mapema sana[emoji2]...
Sent using Jamii Forums mobile app
September siyo mbali, halafu natoka nje ya Tanzania. Hivyo utaona kwanini plans ni mapemaDoooh...safari ni Sept leo June ushaanza mipango ya malazi..kweli usipojiandaa jiandae kushindwa
Ni kwenda kuangalia fursa tu zinazopatikana hukoMkuu,unataka ukaibe gesi?
π€π€π€π€π€ (Possibly KANGOMBA !!!!)Mkuu,unataka ukaibe gesi?
Kila la kheri mkuu.Angalia usiliwe na simba tu.Ni kwenda kuangalia fursa tu zinazopatikana huko
Hahahahaaa!Kuna jamaa alijidai anataka kununua korosho zote.Akakwama.π€π€π€π€π€ (Possibly KANGOMBA !!!!)
Nilikula bata sana pasaka pale kiongozi ,uwekezaji mkubwa ilaRock City Hotel iko jirani na mlima Mkomaindo panafaa sana.
Gharama nafuu.
Nitakutembelea kiongozi kutoka Nachingwea tule vibia pale kipoSeptember siyo mbali, halafu natoka nje ya Tanzania. Hivyo utaona kwanini plans ni mapema
Shukran. Yes, safari ni September, lakini ni vizuri kupata recommendations kutoka kwa wazoefu kushauriwa mahali pa kufikia ili kujipanga safi. Trip ninayofanya ni ya masafa, inaanzia mbali, na inahitaji proper planning na kujua wapi pazuri na penye usalama pa kufikia, hasa ukizingatia itakuwa ni mara yangu ya kwanza kabisa mitaa ya huko kusini.ukifika mjini pale lodge zimejipanga mpaka TK unachagua unayotaka...
ila hizi booking utadhani unaenda cape verde mkuu
mbona mapema sana[emoji2]...
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vizuri ukasema bajeti yako ya hotel ili nikushauri vizuriNategemea kwenda Masasi, Mtwara mwezi September 2021 kwa wiki moja. Hii itakuwa mara ya kwanza kufika maeneo hayo ya kusini. Nitashukuru kwa mawazo ya members humu ni wapi maeneo mazuri ya kufikia (guest houses) ambayo ni salama na iko maeneo ya mjini, na yenye gharama za wastani. Natanguliza shukrani kwa recommendations.
Oh usijali mkuu wenyeji watakuelekezaShukran. Yes, safari ni September, lakini ni vizuri kupata recommendations kutoka kwa wazoefu kushauriwa mahali pa kufikia ili kujipanga safi. Trip ninayofanya ni ya masafa, inaanzia mbali, na inahitaji proper planning na kujua wapi pazuri na penye usalama pa kufikia, hasa ukizingatia itakuwa ni mara yangu ya kwanza kabisa mitaa ya huko kusini.