Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

Zipo Tu nyingi pililila,dololelo,saiduni za kawaida kuanzia 5k mpaka 15k pia zipo zingine BR,rock city ,na Chande kuanzia 15k AC,self contained na breakfast n.k
 
September siyo mbali, halafu natoka nje ya Tanzania. Hivyo utaona kwanini plans ni mapema
Umefanya jambo zuri maana unaweza kugongana na ziara ya Mwenge ikakugharimukwenda kulala mji mwingine
 
Back
Top Bottom