Msaada: Nahitaji sehemu nzuri ya kulala Masasi, Mtwara

Nawashukuru wote kwa ushauri wenu kwa maeneo ya kufikia Masasi. Pia nimeona michango zaidi ya mambo mengine ya kufanya au kwenda kuona nikiwa Masasi. Kwa wale mliopo Masasi, ni matumaini yangu panapo majaaliwa tutaonana kwenye baadhi ya sehemu za burudani ama sehemu za mahitaji muhimu. Mbarikiwe sana.
 
Uliza Adamu viazi,ni Hotel nzuri Sana hutajuta,pia Kuna vimwana vya kumwaga,ukiona vipi sehemu ya burudani uliza kibo bar,Kuna vyakula vya kila aina ,vinywaji Kama vyote na wasichana wa nguvu.
 
Uzuri wa Lodge za masasi, ikifika usiku unagongewa mlango na muhudumu! " Kaka samahani Kuna dada anaomba ulale nae Hadi asbh" [emoji39][emoji39], unagegeda mzigo kiulaiiiini!
Angalizo: watoto wa kimakua wanajua show ukijisahau unakabidhiwa mikorosho na kwenu unasahau[emoji3]
 
Tukutane Kibo.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masasi kwa uzinzi ni hatari..

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Masasi guest houses ni nyingi zaidi ya Mtwara mjini.zipo za hali yote pia bei yoyote
 
Masasi tu umeanza kupanga leo juni mipango ya September. Mzee ungekua unakwenda Downtown Toronto ingekua vipi?
 
Hakuna mtu anayezijua guest/lodge nyingi Kama BODABODA Mimi.
Mkuu ukija usiache kunitafuta ntakutembeza masasi yote
 
Kwa adamu viazi
 
Hakuna mtu anayezijua guest/lodge nyingi Kama BODABODA Mimi.
Mkuu ukija usiache kunitafuta ntakutembeza masasi yote
Unavyosema masasi yote utadhani unaongelea dsm..wakati ukitoka tokula mpaka mtadi,silabu mpka nangaya ni kitendo cha dakika 10 tu kwa pikipiki..au unazungumzia masasi ipi?

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishasikia sana hizi hadithi za kugongewa watu kwa Mtwara na Masasi, lakini nimelala lodges tofauti tofauti hapo Masasi kwa safari zangu nyingi tu lakini sijawahi kutana na hiyo kadhia.
 
Nishasikia sana hizi hadithi za kugongewa watu kwa Mtwara na Masasi, lakini nimelala lodges tofauti tofauti hapo Masasi kwa safari zangu nyingi tu lakini sijawahi kutana na hiyo kadhia.
Labda unaonekana Kama baba paroko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…