bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,334
- 2,463
Wanaumee kamanda hapa nahitaji msaada wa haraka sana.
Nahisi manzi yangu kanitengeneza kwa watalamu, hivyo nataka nitegue ambaye anajua tiba anieleze hapa. Nimeanza kuhisi kutengenezwa kwa sababu nikianza kugombana naye tuu na Mashine inaamka! Kadiri navyojaa nyembe na kuzitema kwa kufoka foka na ndivyoo hivyo hivyo Mashine inakazaa kabisa, hivyo kupelekea kupoteza fokasi na nguvu.
Kamanda nahitaji msadaa mazee nisijae kwenye nyavu.