badison
JF-Expert Member
- May 29, 2015
- 1,450
- 2,761
Dawa yake ndogo Sana tafuta sehemu yenye shimo la wadudu chungu Kisha kojolea hapo ukiwa umepiga magoti hakikisha hakuna MTU anaye kuona ukifanya Hicho kitendo. Rudia kufanya hivo mara mbili Tatu utapona kama ilishindikana na upo dar nenda pale manzese bakhresa muulizie Jamaa mmoja ANAITWA JUMA ana Duka la dawa za asili atakusaidia.