Yaani gari ya zaidi ya 20yrsChukua rav 4 old model
Sasa mil 15 anapata SUV gani?Yaani gari ya zaidi ya 20yrs
Bajeti yang ni 15 ml..Naweza PATA gari ya namna gani ambayo ni nzuri ht Nilitoka nje ya dar.
Pamoja na consumption ya mafuta ushauri wenu
mfuko kama hautoshi, huwezi kumshauri akanunue Nissan E treil ya 2022, wanamshauri kulingana na mfuko wake.Yaani gari ya zaidi ya 20yrs
Matumizi ya gari ni yapi, utalitumia kila siku? au mara chache kwa wiki? unataka gari inayotumia mafuta kidogo? una familia au uko mwenyewe? gari litatembea barabara nzuri au mara nyingi litatembelea barabara ya vumbi? ni gari lako la kwanza? au tayari ushamiliki mengine? je unahitaji gari ambalo ukitaka kuuza hutosumbuka? ukiwa umejiuliza maswali haya na mengine automatically utajua ununue gari gani! lakini kwa bajeti hiyo ukitaka gari zuri lisilosumbua agiza japan kwenye kampuni za kueleweka kama trust, sbt, autocom na mengine, pili nunua ukoo wa toyota, tatu nunua la cc 1300-1500 hapa utapata toyota raum, ist, auris, rumion, axio na mengine mengi tu.Bajeti yang ni 15 ml..Naweza PATA gari ya namna gani ambayo ni nzuri ht Nilitoka nje ya dar.
Pamoja na consumption ya mafuta ushauri wenu
0764423726 nitafute ni agent lkn pia nadili na gari za show room na used pia. KaribuBajeti yang ni 15 ml..Naweza PATA gari ya namna gani ambayo ni nzuri ht Nilitoka nje ya dar.
Pamoja na consumption ya mafuta ushauri wenu
Budget yang ni Mil 14Matumizi ya gari ni yapi, utalitumia kila siku? au mara chache kwa wiki? unataka gari inayotumia mafuta kidogo? una familia au uko mwenyewe? gari litatembea barabara nzuri au mara nyingi litatembelea barabara ya vumbi? ni gari lako la kwanza? au tayari ushamiliki mengine? je unahitaji gari ambalo ukitaka kuuza hutosumbuka? ukiwa umejiuliza maswali haya na mengine automatically utajua ununue gari gani! lakini kwa bajeti hiyo ukitaka gari zuri lisilosumbua agiza japan kwenye kampuni za kueleweka kama trust, sbt, autocom na mengine, pili nunua ukoo wa toyota, tatu nunua la cc 1300-1500 hapa utapata toyota raum, ist, auris, rumion, axio na mengine mengi tu.
Kwa hizo nilizotaja unapata kwa hela yako hii.Budget yang ni Mil 14