Msaada nahitaji usafiri ushauri wenu

Msaada nahitaji usafiri ushauri wenu

Libunda

Member
Joined
Sep 17, 2019
Posts
87
Reaction score
78
Bajeti yang ni 15 ml..Naweza PATA gari ya namna gani ambayo ni nzuri ht Nilitoka nje ya dar.

Pamoja na consumption ya mafuta ushauri wenu
 
Au pia unaweza kujipiga mpk 16 unaagiza Honda crossroads kalii tu..una enjoy min Suv au Toyota Ruminion
 
Bajeti yang ni 15 ml..Naweza PATA gari ya namna gani ambayo ni nzuri ht Nilitoka nje ya dar.

Pamoja na consumption ya mafuta ushauri wenu
Matumizi ya gari ni yapi, utalitumia kila siku? au mara chache kwa wiki? unataka gari inayotumia mafuta kidogo? una familia au uko mwenyewe? gari litatembea barabara nzuri au mara nyingi litatembelea barabara ya vumbi? ni gari lako la kwanza? au tayari ushamiliki mengine? je unahitaji gari ambalo ukitaka kuuza hutosumbuka? ukiwa umejiuliza maswali haya na mengine automatically utajua ununue gari gani! lakini kwa bajeti hiyo ukitaka gari zuri lisilosumbua agiza japan kwenye kampuni za kueleweka kama trust, sbt, autocom na mengine, pili nunua ukoo wa toyota, tatu nunua la cc 1300-1500 hapa utapata toyota raum, ist, auris, rumion, axio na mengine mengi tu.
 
0764423726 nitafute ni agent lkn pia nadili na gari za show room na used pia. Karibu
 
Matumizi ya gari ni yapi, utalitumia kila siku? au mara chache kwa wiki? unataka gari inayotumia mafuta kidogo? una familia au uko mwenyewe? gari litatembea barabara nzuri au mara nyingi litatembelea barabara ya vumbi? ni gari lako la kwanza? au tayari ushamiliki mengine? je unahitaji gari ambalo ukitaka kuuza hutosumbuka? ukiwa umejiuliza maswali haya na mengine automatically utajua ununue gari gani! lakini kwa bajeti hiyo ukitaka gari zuri lisilosumbua agiza japan kwenye kampuni za kueleweka kama trust, sbt, autocom na mengine, pili nunua ukoo wa toyota, tatu nunua la cc 1300-1500 hapa utapata toyota raum, ist, auris, rumion, axio na mengine mengi tu.
Budget yang ni Mil 14
 
Kimsingi unatakiwa kua na magari mawili..SUV na Sedan...moja ya kuendea porini ingine ya kupigia misele town...
 
Back
Top Bottom