Msaada: Nahitaji vifungashio vya makopo

Msaada: Nahitaji vifungashio vya makopo

Tanzanite klm

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
478
Reaction score
408
Nahitaji vifungashio vya kuweka bidhaa za unga unga kama mdalasini zenye ujazo wa gramu mia.pamoja na mifuniko yake nikifunga ziwe sield.,pia mnaweza nielekeza wapi vifungashio vinapatikana
 
Nahitaji vifungashio vya kuweka bidhaa za unga unga kama mdalasini zenye ujazo wa gramu mia.pamoja na mifuniko yake nikifunga ziwe sield.,pia mnaweza nielekeza wapi vifungashio vinapatikana

Habari za leo.
Nimeona post yako hii.
Naomba kufahamu kama ulipata contacts za suppliers wa packaging.
Naomba kama ulipata na mimi nahitaji.
Asante.
 
Back
Top Bottom