Msaada: naitaji kuwa rafiki Wa karibu na miss natafuta Wa JF

Msaada: naitaji kuwa rafiki Wa karibu na miss natafuta Wa JF

Differential Equations

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2016
Posts
204
Reaction score
200
Ndg zangu Amani ya bwana iwe nanyi, naomba niweke wazo langu na nia yangu ya muda mrefu inayochoma moyo wangu.

Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu sana juu ya busara za Dada yetu maarufu kama MISS NATAFUTA Wa humu jf namna alivyo na hoja nzuri, anajitambua, mwenye mawazo mapana zaidi na mwenye uelewa Wa hali ya juu sana hivyo kuweza kunivutia mm na nimeamua rasmi kuanza urafiki Wa karibu na miss natafuta.

Kama ataona hii post naomba aje pm please au kama uko karibu nae naomba unisaidie kufikisha ujumbe wangu kwake.

Nakupenda sana miss natafuta.
 
Miss Natafuta bwana tatizo ni ule mtihani wako wa mwisho wa kuomba hela, ila unaonekana we ni kazi kazi.

Mkuu endelea kufuatilia
 
Athari za mitandao unaweza kuta umdhanie ndie sie. Unaweza jenga fikra ya kibinti kimoja kizuri ukaja kukutana na njemba ina manyoya kama ngedere. Angalia mkuu usije ukawa disappointed na uhalisia.....
Mkuu dawa ya watu wa namna hii ni kuwaacha siku watakurupuka namna hii watakuja kutana na njemba watapakwa mafuta.
 
Domo zege?? mmmh hii sasa ni Vidole zege si umtafute mwenyew jamani mpaka usaidiwe?
 
Domo zege?? mmmh hii sasa ni Vidole zege si umtafute mwenyew jamani mpaka usaidiwe?
ndo vijana wa cku hiz hawa wazembe kweli sas cjui kleta hapa ili huyo dad akion amuanze yy
 
tatiz hujawahi muona be kea blaza unaweza mkimbia akikuambua mkutane
 
Back
Top Bottom