Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Itakua angazako zimeingiliwa aiseeeeee......[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]hivi mods wamelala au inakuaje post kama hii inaruhusiwa humu,hayo mambo yako private mfuate pm sio humu please .
Jiheshimu tunaamini umekua
Amigo....Kila la kher bwana
Muacheni mvulana ajilipue, alafu akakutane na dume shupa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Athari za mitandao unaweza kuta umdhanie ndie sie. Unaweza jenga fikra ya kibinti kimoja kizuri ukaja kukutana na njemba ina manyoya kama ngedere. Angalia mkuu usije ukawa disappointed na uhalisia.....
Naunga mkono hoja...[emoji123]Kipenda rohoo
Toba......[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Mkuu dawa ya watu wa namna hii ni kuwaacha siku watakurupuka namna hii watakuja kutana na njemba watapakwa mafuta.
Hahah amigoAmigo....
Naona umetoa neno kwa uchungu sana, sjui kwanini......[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Comrade.....Hahah amigo
Wewe si ulikataaga kunifundisha un'gen'ge.. fursa zisingekuwa zinatupita.
HahaComrade.....
Kuna siku niliwahi kukariri mistari ya lugha ya bepari, ili nikazoze.......
Kilicho nikuta.....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Amigo hii lugha iloletwa na jahazi kweli ni shiderrrrrrrr
Hahaaaahaaaaaa.......[emoji23] [emoji23] [emoji23]Haha
Ukienda usiitumie yenyewe tu unafanya code switching na code mixing ili Kuongezea vinyama unapopelea haha uliharibu amigo
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni kichaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]Hahaaaahaaaaaa.......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unamaanisha nisahau of course...... you know..... Okay...... Nakadhalika.... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tatizo hua nakwama nikiulizwa why.....[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hapo hua napotezea na, okay wait.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Then napitia choo cha watoto..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni kichaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Miss natafuta achana nijali mm hapa mwenye uzinilishawai kukuomba hela mkuu?
DoohMiss natafuta vipi huja respond kwangu mm ndiyo kwenye hii thread please.
Huyu jamaa atakuwa kaka yake na Abitoke, sio bure. Wote wembe uleuleNdg zangu Amani ya bwana iwe nanyi, naomba niweke wazo langu na nia yangu ya muda mrefu inayochoma moyo wangu.
Nimekuwa nikiangalia kwa muda mrefu sana juu ya busara za Dada yetu maarufu kama MISS NATAFUTA Wa humu jf namna alivyo na hoja nzuri, anajitambua, mwenye mawazo mapana zaidi na mwenye uelewa Wa hali ya juu sana hivyo kuweza kunivutia mm na nimeamua rasmi kuanza urafiki Wa karibu na miss natafuta.
Kama ataona hii post naomba aje pm please au kama uko karibu nae naomba unisaidie kufikisha ujumbe wangu kwake.
Nakupenda sana miss natafuta.
Hii lugha inawenyewe aiseeeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]"Unamaanisha nisahau of course...... you know..... Okay....
Tatizo hua nakwama nikiulizwa why.....
Hapo hua napotezea na, okay wait..."
Ushimen...doh doh nimecheka nyuma ya keyboard mpaka chozi linanitoka.... eti wakikuuliza "why" unasema "okay wait" hahaaa
matusi tenaKuna uzi nilisoma jana kuna jamaa alimjaribu huyu mdada. Hayo matusi alorusha kama yule chizi wa kariakoo pale.[emoji1] [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]