Differential Equations
JF-Expert Member
- Dec 21, 2016
- 204
- 200
Usitake tufikirie wote sawa am just expressing my feelingshivi mods wamelala au inakuaje post kama hii inaruhusiwa humu,hayo mambo yako private mfuate pm sio humu please .
Jiheshimu tunaamini umekua
Kipenda rohooKuna uzi nilisoma jana kuna jamaa alimjaribu huyu mdada. Hayo matusi alorusha kama yule chizi wa kariakoo pale.[emoji1] [emoji111]
Ndukiiiii[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kaeleza hisia zake tu jamanii.hivi mods wamelala au inakuaje post kama hii inaruhusiwa humu,hayo mambo yako private mfuate pm sio humu please .
Jiheshimu tunaamini umekua
Mkuu dawa ya watu wa namna hii ni kuwaacha siku watakurupuka namna hii watakuja kutana na njemba watapakwa mafuta.Athari za mitandao unaweza kuta umdhanie ndie sie. Unaweza jenga fikra ya kibinti kimoja kizuri ukaja kukutana na njemba ina manyoya kama ngedere. Angalia mkuu usije ukawa disappointed na uhalisia.....
ndo vijana wa cku hiz hawa wazembe kweli sas cjui kleta hapa ili huyo dad akion amuanze yyDomo zege?? mmmh hii sasa ni Vidole zege si umtafute mwenyew jamani mpaka usaidiwe?
ndo vijana wa cku hiz hawa wazembe kweli sas cjui kleta hapa ili huyo dad akion amuanze yy
Ule mhola ngoshaMiss Natafuta njoo huku unatafutwa.