Msaada: naitaji kuwa rafiki Wa karibu na miss natafuta Wa JF

Miss natafuta tena unataka awe rafiki .. Ungeomba Namba take ya account au m PESA ningeweza kusema unaelekea kila KWA Uzi mkabu ivi
 
Nipe hela nikuunganishie maana tunakaa nae jirani kabisa pale Darslam....[emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hivi mods wamelala au inakuaje post kama hii inaruhusiwa humu,hayo mambo yako private mfuate pm sio humu please .

Jiheshimu tunaamini umekua
Itakua angazako zimeingiliwa aiseeeeee......[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Maana sio kwa povu hili
 
Athari za mitandao unaweza kuta umdhanie ndie sie. Unaweza jenga fikra ya kibinti kimoja kizuri ukaja kukutana na njemba ina manyoya kama ngedere. Angalia mkuu usije ukawa disappointed na uhalisia.....
Muacheni mvulana ajilipue, alafu akakutane na dume shupa....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahah amigo
Wewe si ulikataaga kunifundisha un'gen'ge.. fursa zisingekuwa zinatupita.
Comrade.....
Kuna siku niliwahi kukariri mistari ya lugha ya bepari, ili nikazoze.......
Kilicho nikuta.....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Amigo hii lugha iloletwa na jahazi kweli ni shiderrrrrrrr
 
Comrade.....
Kuna siku niliwahi kukariri mistari ya lugha ya bepari, ili nikazoze.......
Kilicho nikuta.....[emoji25] [emoji25] [emoji25]
Amigo hii lugha iloletwa na jahazi kweli ni shiderrrrrrrr
Haha
Ukienda usiitumie yenyewe tu unafanya code switching na code mixing ili Kuongezea vinyama unapopelea haha uliharibu amigo
 
Haha
Ukienda usiitumie yenyewe tu unafanya code switching na code mixing ili Kuongezea vinyama unapopelea haha uliharibu amigo
Hahaaaahaaaaaa.......[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unamaanisha nisahau of course...... you know..... Okay...... Nakadhalika.... [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Tatizo hua nakwama nikiulizwa why.....[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
Hapo hua napotezea na, okay wait.....[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Then napitia choo cha watoto..
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] wewe ni kichaaa [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
"Unamaanisha nisahau of course...... you know..... Okay....
Tatizo hua nakwama nikiulizwa why.....
Hapo hua napotezea na, okay wait..."

Ushimen...doh doh nimecheka nyuma ya keyboard mpaka chozi linanitoka.... eti wakikuuliza "why" unasema "okay wait" hahaaa
 
Huyu jamaa atakuwa kaka yake na Abitoke, sio bure. Wote wembe uleule
 
Hii lugha inawenyewe aiseeeee.....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
Mistaki malugha ya kua yananitoa jasho na uzee huu...[emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…