Msaada: naitaji kuwa rafiki Wa karibu na miss natafuta Wa JF

Hivi tuseme miss natafuta mwenyewe kashikwa na kigugumizi gani na mleta uzi huu?
Maana anajibu post tofauti na za mtoa mada!
Miss kama mtu amekuzimikia, ingilika. Atakayekuzika haumjui.
Kinachowavutia watu ni aina ya comments na thread zako unazo post humu. Yaan ni kavukavu, dongo kwa dongo.
Sasa kuna wanaume wengine wanahusudu demu wa kiivyo, wanaoenda stori zaidi hawaangalii sura yako upoupoje.
Mtu anayetangaza nia tena hadharani namna hii anastahili kusikilizwa, yawezekana akawa na nia njema, kakosa tu sehemu ya kuanzishia maongezi na wewe.
 
Intelligent comment, naumia kweli mkuu miss natafuta hata hajali mm ndo nimeandika hiyo thread
 
hivi mods wamelala au inakuaje post kama hii inaruhusiwa humu,hayo mambo yako private mfuate pm sio humu please .

Jiheshimu tunaamini umekua

Wako kwenye mwariko wa thikukuu bado....
 
Kwa huyo nenda tu mkapigane maana ameshatendwa hadi amechoka,ikishindikana nenda kwa lile li ndumbisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…