Msaada ; najikuta nasinzia hovyo muda wa kazi

Panga muda wa kufanya ngono at least twice a week. Hii itabalance masomo na kazi then usingizi wakati wa lectures utakoma
 
*Pima kiwango cha damu.
*piga zoezi asubuhi kila ukiamka
*punguza mafuta kwenye vyakula unavyokula, kula vyakula vya nafaka ambazo hazijakobolewa.
*usichelewe sana kulala usiku, hata kama unalala masaa matatu basi iwe saa6 mpaka saa9.

NB: kuna hali ya ubongo kutokupenda kitu na kuona kulala ni suluhisho, ukiwa antisocial na usiyependa kufundishwa lazima uandamwe na kulala lala
 
Panga muda wa kufanya ngono at least twice a week. Hii itabalance masomo na kazi then usingizi wakati wa lectures utakoma
Really mkuu!!!? Maana Nina miaka mingi sijafanya ngono!!!
 
Wahi kwenye maimbezi mkuu. Utakuwa unasumbuliwa na pepo sio bure.
 
Really mkuu!!!? Maana Nina miaka mingi sijafanya ngono!!!
Yalinikuta nikiwa CBE daktari wangu pale agakhan aliponipima alikuta hormone zimekaa vibaya akanishauri nitafute wa kumgonga na vile nilikuwa mlokolemlokole nikajikaza kisabuni nikamtokea mdada mmoja akanipa nikapona
 
punguza mawazo yan hayo upelekea unakosa mda mzuri wa kulala ndio mana unalala kwa machale sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…