Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Msaada hapa ni kukuacha tu hadi utamu uishe ndio tuongee!
Sijui kitu gani unachohitaji watu wakushauri...!
So far, unaonekana kumpenda huyo mwanamke pamoja na kuwa anauza nyapu, hupendezwi na tabia hizo lkn huwezi kumuacha...! sasa sidhani kama wewe ndio unafaa kushauriwa, labda uweke ID ya huyo dada ili watu wamshauri yeye, maana wewe sio game changer...! wewe unapangiwa hata usiwe na demu wakati mwenzio anajiuza, sasa watu tukushauri nini?
Mlete huyo demu wako tumuongeleshe labda inaweza kuwa na tija, lkn kwa wewe... utatuchosha bure.... huwezi kuleta mabadiliko
!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…