Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Ha ha ha wanasema ukishikwa shikika mkuu...
Hata kwa changudoa??!!!!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha wanasema ukishikwa shikika mkuu...
Inaonyesha wewe na warembo damdamDah jukwaa linawarembo siku hizi
Hata kwa changudoa??!!!!!!
Ha[emoji1] usimfanyie ivo mwenzio mapenzi yanatesa nakutekaUkipata ukimwi utamuacha endelea mkuu amna shida
Tatizo hapo ni hela anayo? Mtoto kashazoea kula kitimoto na savannah za baridi ataweza kumlea!!!!!!!!!muoe ataacha hiyooo tabia
Haya jirani. Majirani tumeongezekaHapana nimesema tu kwa kuwa nilihama hili jukwaa
[emoji85] [emoji85] [emoji85] LOLNdio tatizo la kumingle Na watoto wazuri kwa nadra, siku ukimpata anakugeuza ndondocha. Ubaa ubaa ubarikiweee
Sipafahamu.Karibu Pm
Kuna MTU humu kasema unajichimbia kaburi mwenyewe.Mbona umekuwa muoga?
Msaada hapa ni kukuacha tu hadi utamu uishe ndio tuongee!Wasalaam wakuu,
Nikama miezi mitatu imepita tokea nilipoanzisha mahusiano na binti mmoja hivi mwenyeji wa mkoani Kilimanjaro.
Ni binti mzuri wa sura, mweupe wa rangi na mwenye macho sahihi ya kike. Uhusiano wangu na binti ulianza pale alipohamia kwenye nyumba ninayoishi mimi akitokea maeneo ya Mji Mwema Kigamboni. Mara ya kwanza kukutanisha macho yetu nilihisi Moyo wangu ukiniambia kitu. Moyo wangu ulizungumza tamaa, tamaa juu ya umbo la mtoto yule wa kichaga. Nikatamani kumpata na kumfanya wangu kwa kipindi kirefu kwa kuwa alikuwa anavutia sana.
Kwa kuwatumia washkaji hasa mtoto wa mwenye nyumba yangu nikafanikiwa kumpata mtoto huyu na kitu ambacho kilinivutia ni pale tulipoongea siku ya kwanza tukiwa wawili akafanikiwa kulitumia dushe langu kama kipaza sauti na kufanikisha kuniliza chozi moja la fasta.
Baada ya tukio hilo mapenzi yakazaliwa huku tukipeana na wakati mwingine akijakuchukuliwa na magari kisha kurudishwa asubuhi. Niliendelea kuvumilia hali ile kwa kuwa nilijiwekea kwamba napiga kwa muda kisha nasepa lakini sasa naona nimedata naye amenasa. Kumuacha nashindwa na yeye kuacha UCHANGUDOA hawezi. Kuna wakati alikuwa akitishia kujiua iwapo angenifumania na kikubwa anasema ameshafanya matukio makubwa ya kucharanga viwembe wanawake wenzie.
Hilo linanitisha na kunisumbua ni kweli ni mzuri, ni kweli ni fundi kiasi chake. Lakini bado ni muuzaji na kibaya zaidi najua kuwa anajiuza. Jana nilijaribu kuongea naye lakini mwisho wa siku akaangukia kwenye kunipa penzi. Nilijikuta nikisahau hata kuendelea kumuuliza. Tuliagana vizuri baada ya mechi na kuniambia kuwa anakwenda kulala, lakini cha ajabu nimeamka asubuhi namuona akishushwa na gari akiwa na mizigo. Moyo unaniuma, nimeamua kumnunia lakini siwezi kwa kuwa nampenda sana.
MSAADA KATIKA HILI
Bado uko huyo dada?Wivu una msumbua huyo