Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

hapa nimejifungia room kuogopa kuumia pale atakapo rudishwa. Naishi kwa mateso na maumivu sana. Hii nyumba nimeiona Chungu

Baba christina kama unaweza kusafiri kwa muda uondokana na hayo machungu ukirudi ni kuhamisha vyombo.......shem karibu nyumbani 🙂
 
Kwani na ww n mnunuzi au anakupa free, anyway hakikisha unatumia kondom tu hamna namna
 
kaka ni kwamba huyu binti amepanga ninapishi. Harafu ni mzuri so sikutaka kuchelewa na wala sikuwa na mpango wa kuoa. Nilitaka kufanya kwa kipindi then nisepe.
Kama ulikuwa unafanya kipind unalilia nn mkuuuu achaaaa undez brooo
 
Baba christina kama unaweza kusafiri kwa muda uondokana na hayo machungu ukirudi ni kuhamisha vyombo.......shem karibu nyumbani 🙂
nitakaribia lakini nadhani kuna kitu natakiwa kukifanya. Bado tumechuniana kabisa na hiki kitendo kikifika wiki nitakuwa nimeshaachana na itakuwa rahisi kuhama pale nyumbani
 
Wewe ni mtumwa wa nafsi yako. Achana nae
napigana katika kumuacha lakini ukaribu wa kimazingira unanipa ugumu. kila wakati namuona. kila wakati tunaonana na tunatizamana. Mioyo na nyuso zetu zinaongea mapenzi lakini mchaga huyu amekuwa mtumwa katika hiki anachokifanya
 
Back
Top Bottom