Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
hapa nimejifungia room kuogopa kuumia pale atakapo rudishwa. Naishi kwa mateso na maumivu sana. Hii nyumba nimeiona Chungu
Hebu fuata huu ushauri wako....
Kama ulikuwa unafanya kipind unalilia nn mkuuuu achaaaa undez broookaka ni kwamba huyu binti amepanga ninapishi. Harafu ni mzuri so sikutaka kuchelewa na wala sikuwa na mpango wa kuoa. Nilitaka kufanya kwa kipindi then nisepe.
nitakaribia lakini nadhani kuna kitu natakiwa kukifanya. Bado tumechuniana kabisa na hiki kitendo kikifika wiki nitakuwa nimeshaachana na itakuwa rahisi kuhama pale nyumbaniBaba christina kama unaweza kusafiri kwa muda uondokana na hayo machungu ukirudi ni kuhamisha vyombo.......shem karibu nyumbani 🙂
napigana katika kumuacha lakini ukaribu wa kimazingira unanipa ugumu. kila wakati namuona. kila wakati tunaonana na tunatizamana. Mioyo na nyuso zetu zinaongea mapenzi lakini mchaga huyu amekuwa mtumwa katika hiki anachokifanyaWewe ni mtumwa wa nafsi yako. Achana nae