Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Msaada: Najua natembea na changudoa, lakini kumuacha siwezi

Ningesema Uhame, ila najua utarudi tu au atakufuata!
 
Nilikuaga nashangaa kusikia watu wanajiandalia makaburi yao nikawa nashangaa kweli!? Kumbe ndo kwa style hii? Mkuu andika mirathi kabisa ndugu zako wasije pata tabu badae..... Rip in advance
Asee
 
Back
Top Bottom