Msaada: Nakataliwa na kila Msichana

Msaada: Nakataliwa na kila Msichana

nishawahi kuwa kwenye situation kama hiyo but cha kwanza elewa mwanaume unavyokua ndo inakua rahic kuwapata wanawake so hadi hakuna shida yoyote.
Mi nilipokua first year niliwakomalia wanawake kama wa3 wakanitosa nikakikomaa na masomo later in life nimekua nikikomaa kukwepa wanawake .
Komaa ukishapata kazi we ndo utakua unawakwepa .
 
Nahitaji msichana wa kuwa na mahusiano nae ila sijui pa kuanzia. Sio kwamba sijui kutongoza ila naogopa kukataliwa. Muda mwingi wa maisha yangu nimeutumia kwenye masomo sana sasa baada ya kumaliza kidato cha sita ,uhitaji wa kuwa na msichana wa ku share nae feelings ndio ukawa mkubwa zaidi. Tatizo kila msichana nitakaye mfeel nikimuelezea anazingua. Nikaona nisiende direct bali ni anzishe friendship kwanza tufahamiane zaidi ,kwa kuwa niko kwenye movement sana kutokana na masomo basi nikiomba hata namba wanakataa.

Sasa hivi nimekuwa affected kisaikolojia kiasi kwamba na wa hate girls, kila mmoja naona atanikatalia. Nimestop kuongea nao na sina marafiki wa kike pia nilisoma kidato cha kwanza mpaka cha sita shule ya wavulana watupu. Sasa hivi nipo chuo mwaka wa pili nachukua engineering ila sijamueleza msichana yoyote ambaye namfeel kwa sababu i have a fear of rejection.

Huwa naumia sana wenzangu kila siku wanatembelewa na wapenzi wao room, wanatoka out weekend wana enjoy, wanapeana zawadi ila mi kwangu hiyo ni ndoto.

Sasa najiuliza kweni mimi nina kasoro gani kama money ipo, darasani nafanya vizuri tu na nina think on positive side of life.

Kwa sasa nina miaka 22 na hii hali ina affect my studies i just want somebody to remove my loneliness ,to share love and happiness, doing things together and to make me feel worthy living.

The greatest effect now is that i don't want to talk to girls for what they Have done for me. I am living hoping that one day a girl will come who understands me but time is running



Please guys help me.....


Regards...


Thanx

Kwanza Nijibu Maswali Haya Kisha Nikupe Swaga Za Kimaujanja!
1. Je Wewe Ni Mwanaume au Mwanamume?
2. Je MTALIMBO Wako Ni Kama Njiti Ya Kiberiti au Ni Bomba Haswa?
3. Je Ukitongoza Huwa UNAMWAGA SUMU au HUWA UNATANGULIZA Hela a.k.a KUHONGA?
4. Je MSURA Wako Ni Wa Biashara a.k.a Mvuto au MSURA Wako Ni Full NYAGO a.k.a Uso Wa Mbuzi?
5. Ukiwa Unatongoza Huwa UNABANA Pua Kama Mr. Blue au Huwa Unakuwa NGANGARI Kisauti Kama Ney Wa Mitego?
6. Je Wewe Ni MSAFI au Ni MCHAFUKOGE?
7. Je Una Kadi Ngapi Za ATM? Na Je Zina MAVUMBA Ya Kutosha?
8. Mara Yako Ya Mwisho Kupima UKIMWI Ni Lini?
9. Mwili Wako Ni Wa KISHUPAVU Kama Wa Mheshimiwa Nashukuru au Ni MINYAMAUZEMBE Kama Wa Mheshimiwa Kuomba?
10. Je Umeshawahi KUFUMANIWA? Kama Hapana UNAJIANDAAJE Kwa Tukio Hilo La Kishupavu ILA La Aibu?
11. Je DOMO LAKO Linatoa Harufu Ya KIMAMTONI au Linatoa Harufu Ya USWAZI CHANGANYIKENI?
 
nishawahi kuwa kwenye situation kama hiyo but cha kwanza elewa mwanaume unavyokua ndo inakua rahic kuwapata wanawake so hadi hakuna shida yoyote.
Mi nilipokua first year niliwakomalia wanawake kama wa3 wakanitosa nikakikomaa na masomo later in life nimekua nikikomaa kukwepa wanawake .
Komaa ukishapata kazi we ndo utakua unawakwepa .

Loud and clear
 
hahahahaaaa,,,, kwa umri huo mie nilikuwa nyetomaster,,,, kitabu sanaaaaa..... now nimetulia maisha yanasonga........ kwanza nna hakika unajipiga bao daily sababu ya udaku.....futa hizo hisia kazania masomo,,, ukishindwa jifunze punyeto.....haina gharama wala machungu,,,, just to adjust only.....utajutaaaa
 
Nyie mnaoponda huyu kijana mlianza mapenzi na umri gani???????
Wajuzi wa mitongozo msaidieni kijana loliness itamuuua!!!!!!!!! ukikosa girl njoo nikubemende upate uzoefu
 
Kama una mawazo chanya ya maisha kwanini unakuwa na wasi wasi wa kukataliwa unapotaka kutongoza?

Nadhani bado hujakomaa vizuri, ukifikia kwenye kilele cha uhitaji wa mwenza mbona utamsaka tu hata awe anaishi ndani ya uzio wa mageti 7!

Pambana na shule kwanza, hawa wanawake ni urithi wetu wapo tu kila kona na kila mahali! Tulia tu watakukimbilia wenyewe wala wasikuumize kichwa!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
dogo ulia usome, ukijaribu umeupata... shauri yako....
 
Mkuu hata wa kimboka wanakukataa ...
Jisogeze pale na buku mbili yako ukapunguze gundi hilo......ukichelewa hilo gundi litaanza kukunyevua nyuma halafu utawapa watu lawama....
 
mkuu mara nyingi girls wanapenda mtu wa kutoka nae aringishie kwa wenzake,,,, wanapenda sana showoff...... sasa kama vigezo hauna basi litakuwa tatizo hilo.....
 
,unaweza kuona paka au kuku au bata au mbuzi au ng'ombe ,jidai kushtuka nae kwamba umeona kitu labda ukamwambia mtizame yule ,atakuuliza kwani ana nini ,utamwambia nyumbani mlikuwa nae kama yule ukimpenda kwelikweli lakini aligongwa na gari basi ametuhuzunisha sana nyumbani

Duuuuu..... nimecheka sanaa😀
 
Wapotezee madem..endelea na punyeto yako kiroho safii mdogo angu
 
Baada ya ku analyse hizo comments na ku process that information in my brain, I have decided that let me first concentrate on studies and other things will follow later.

Thanx to all you guys for ur advice...
 
Nahitaji msichana wa kuwa na mahusiano nae ila sijui pa kuanzia. .atizo kila msichana nitakaye mfeel nikimuelezea anazingua..Sasa hivi nimekuwa affected kisaikolojia kiasi kwamba na wa hate girls, kila mmoja naona atanikatalia. ....Please guys help me...

Dalili ulizonazo ni sawa kabisa na kijana aliitwa Elliot Roger.. alikuwa na miaka 22 lakini bado bikira wa kiume.. aliathirika kisaikolojia kama wewe.. Mwisho wake aliuwa watu 7 na kujiua mwenyewe.. Soma habari kwa ku click link hiyo hapo chini na chukua hatua kwani dalili za mvua ni mawingu..

Elliot Rodger 'kills 7 in drive-by shooting near UC Santa Barbara' | Daily Mail Online
 
I really can't do that bro, that is another world. Let me first just build my future and when things are okay i will do to them like what they are doing to me now. Just kidding, when i find a perfect match i will love her with all my
heart. But if a girl is reading this, i have a question. "Why do you refuse a friendship even to a nice guy?" Unajua haya mambo ni ku support to each other ili siku ziende, really according to me nikijua kwamba a girl ana nifeel na mimi namkubali ,nakuwa productive kichizi coz najua i am responsible for someone i care -thats a human nature. Huwa natamani hata kuwa na ability ya ku read their thoughts so that i can know what they are thinking about me....
 
Back
Top Bottom