Msaada: Nakataliwa na kila Msichana

pole aise kweli tunatofautiana mm uku chuo nawakimbia cozz napokea maombi daily
 
pole mdogo wangu! wanawake sio wa kuwachukia, jitahidi kujumuika nao ktk ishu mbalimbali, penda kuwasifia kila mara usiwadharau hata kidogo, wajali, wazingatie, wanawake wanapenda kupewa kipaumbele(u-MALKIA). jitahidi kuwatongoza kadri ya uwezo wako, lakini wakizingua usi-FORCE, mtongozo uendelee! kwa wengine hadi uopoe pisi kali.
 
Jitahidi kuwa nadhifu sana, hayo mengine yatafuata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…