Fakrinaaa upo? Mwanao hajambo
ulikua wa moto ila ss hv umezd kua wa moto unatoa mosh km maj yaliotoka jkon
asante sna ntajtahd niende
Ingia kwenye friji kisha uiwashe baada ya muda utoke ukojoe uone mabadiliko kisha utoe taarifa hapa hapa.
Jamani naomba msaada mwezenu nakojoa mkojo unakuwa wa moto mpaka unatoka moshi kama maji ya moto vile. mpaka naogopa mwezenu. Huu ugonjwa gani madaktari.
Nashukuru sana daktari.
HUYU MTU HUWEIZ MWELEWAPresentation yako si nzuri ni kwamba huo mkojo unajuaje ni wa moto ukiushika unakuunguza au au wakati wa kukojoa unahisi kama mkojo unakuunguza sehemu ya njia yake( unapata maumivu wakati wa kukojoa ) mkojo kutoka moshi???
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kwenda kukojoa hakikisha unaweka vitofali vya barafu kwenye uke wakocungui ila unakua wa moto sna had unatoa mosh mwng sna