Msaada: Nakojoa mkojo wa moto

Msaada: Nakojoa mkojo wa moto

Aiseeeh we hapo mtaaani kwenu nafikiri hakuna haja ya kukununua tena kiberiti,weka bango mlangoni kwako nakojoa mkojo wa moto,ukihitaji kuwasha mkaaa au kuni pia kandili unakaribishwa,na pia ka wa moto uweke kwenye friji upoe
 
Maskini pole kijana ila kwani wataka kojoa kojo la baridi si mzima ww muone hospitali vyoo vya kushare hivoo
 
Mabadiriko ya hali ya hewa ikiambatana na mabadiriko ya joto la mwili wako. Mfano kipindi cha baridi ata ukiongea tu unaona mvuke wa moshi ukitoka mdomoni hivyo ata mkojo pia..ukiona unatoa hiyo hali kipindi cha mchana tena kwa jua la DAR na joto lake ushauri nenda hospital huenda ENGINE INACHEMSHA HIYO
 
asante sna ntajtahd niende

Yaan wew unamashaka na afya yako....unaomba ushauri....unashauriwa ukamwone doctor ili utibiwe, halafu unajibu "asante nitajitahidi niende", kweliii!!!!

Labda kama umeandika hapa kuigiza tu. HUNA UTHUBUTU KABISA! Na ndo wanawake dizaini hii mnahifadhi maradhi miilini mwenu kwa uvumilivu wenu na kujisababishia madhara zaidi....huku mkituambukiza sisi tunaoshiriki nanyi kinyemela. ETI, NITAJITAHIDI. Bure kabisa!!!
 
sijajua jinsia yako ila kama huna ugonjwa wowote unaoweza kuletea homa basi utakua upo kwenye joto na hivyo unahitaji dume/mwanamume akupe haki yako ili uweze kuwapatia wazazi wako mjukuu!
 
Ila hata hivyo mkojo huwa ni wa moto, sema labda wako umezidi.
Pia kama uko sehemu za baridi sana inawezekana mkojo ukavuka moshi.

Jitahidi kunywa maji ya uvuguvugu kwa wingi.
 
Jamani naomba msaada mwezenu nakojoa mkojo unakuwa wa moto mpaka unatoka moshi kama maji ya moto vile. mpaka naogopa mwezenu. Huu ugonjwa gani madaktari.

Nashukuru sana daktari.

kapime u t I mkuu au mkojo mchafu na kunywa Maji kwa wing.kwa cku yasipungue Lita 3
 
Presentation yako si nzuri ni kwamba huo mkojo unajuaje ni wa moto ukiushika unakuunguza au au wakati wa kukojoa unahisi kama mkojo unakuunguza sehemu ya njia yake( unapata maumivu wakati wa kukojoa ) mkojo kutoka moshi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Punguza kula vyakula vya sukari na wanga. Pia uwe unaoga. Inaonekana unatikisa bafu sana wewe!
 
Back
Top Bottom