Msaada: Nakojoa mkojo wa moto

Unavyotoka unalia "churururuu" au "chwaaaaa"??...
Mkuu angalia sasa hadi mtoto kaamka wakati tulimbembeleza kwa gharama kubwa ili alale. Umenivunja mbavu asee.

Kweli muhuni sio mtu
 
Mkuu angalia sasa hadi mtoto kaamka wakati tulimbembeleza kwa gharama kubwa ili alale. Umenivunja mbavu asee.

Kweli muhuni sio mtu
Poleni bana anzeni upya tu.

Ilibidi nihakikishe nachohisi tatizo😀🙂
 
Jamani naomba msaada mwezenu nakojoa mkojo unakuwa wa moto mpaka unatoka moshi kama maji ya moto vile. mpaka naogopa mwezenu. Huu ugonjwa gani madaktari.

Nashukuru sana daktari.
Hii sio yuti yai kweli;!

Jr[emoji769]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…