MKANDAHARI
JF-Expert Member
- Apr 7, 2011
- 5,727
- 6,615
Mkuu angalia sasa hadi mtoto kaamka wakati tulimbembeleza kwa gharama kubwa ili alale. Umenivunja mbavu asee.Unavyotoka unalia "churururuu" au "chwaaaaa"??...
Kweli muhuni sio mtu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu angalia sasa hadi mtoto kaamka wakati tulimbembeleza kwa gharama kubwa ili alale. Umenivunja mbavu asee.Unavyotoka unalia "churururuu" au "chwaaaaa"??...
Poleni bana anzeni upya tu.Mkuu angalia sasa hadi mtoto kaamka wakati tulimbembeleza kwa gharama kubwa ili alale. Umenivunja mbavu asee.
Kweli muhuni sio mtu
Kapime sukariulikua wa moto ila ss hv umezd kua wa moto unatoa mosh km maj yaliotoka jkon
Hii sio yuti yai kweli;!Jamani naomba msaada mwezenu nakojoa mkojo unakuwa wa moto mpaka unatoka moshi kama maji ya moto vile. mpaka naogopa mwezenu. Huu ugonjwa gani madaktari.
Nashukuru sana daktari.