Dunga sindano za usingizi za kutosha au mavidonge ya usingizi. Au kama vipi nenda jukwaa la jf doctornaomba mwenye ushauri please nimejikuta nakosa usingizi yaan ikifika saa kumi mara nyingine hata saa 9 najikuta usingizi wote umeisha na sio kwamba sikchoki, nafanya mazoezi ya kutosha ili nipate usingizi lakin bado hali imeendelea kuwa ivi, msaada tafadhali