Msaada-nakosa usingizi

Msaada-nakosa usingizi

kimbuzi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2013
Posts
153
Reaction score
54
Naomba mwenye ushauri please nimejikuta nakosa usingizi yaani ikifika saa kumi mara nyingine hata saa 9 najikuta usingizi wote umeisha na sio kwamba sikuchoka.

Nafanya mazoezi ya kutosha ili nipate usingizi lakini bado hali imeendelea kuwa hivi.

Msaada tafadhali
 
naomba mwenye ushauri please nimejikuta nakosa usingizi yaan ikifika saa kumi mara nyingine hata saa 9 najikuta usingizi wote umeisha na sio kwamba sikchoki, nafanya mazoezi ya kutosha ili nipate usingizi lakin bado hali imeendelea kuwa ivi, msaada tafadhali
Dunga sindano za usingizi za kutosha au mavidonge ya usingizi. Au kama vipi nenda jukwaa la jf doctor
 
Malizia ile nyumba yako ya wapi kule, trust me usingizi utakuja
 
Back
Top Bottom