Msaada nakufa mwenzenu

nimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
Huoni jina la mdogo wako au la kwako? kuwa wazi mkuu
 
wakuu nisaidien na mimi profile langu limeandikwa selected na tena facult bachelor of education with ICT udom. lakin jina langu halipo.... ninamawazo sana nashindwa hata kula
 
Msaada kuhusu MUST..Ama mwaka huu hakuna 1st year coz til now kimya,watatoa lin??mi ni wa 4m 6 na status inasoma APPROVED.PROCCESSED SUCCESSFULY.YOU HAVE BEEN SELECTED.Na ndicho chuo nilichoomba kwa 2nd round...JE HAPO IMEKAAJE WANA JF....??NISAIDIENI UELEWA
 
nipe majina ya vyuo ulivyokuwa umechagua na pia course ulizokuwa umejaza

Alichagua
1. national institute of transport
2. university of dar es salaam
3. dar es salaam university college of education
Nisaidie mkuu
 
Alichagua
1. national institute of transport
2. university of dar es salaam
3. dar es salaam university college of education
Nisaidie mkuu

udsm na duce haupo
hiyo nit sina uhakika kama majina washatoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…