Katibu Afya
Member
- Sep 22, 2014
- 56
- 20
Huoni jina la mdogo wako au la kwako? kuwa wazi mkuunimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huoni jina la mdogo wako au la kwako? kuwa wazi mkuunimechanganyikiwa wajameni sioni jina la mdogo wangu kwenye selection za vyuo vyote japo profile status yake wameandika yuko selected nisaidieni mawazo
nipe majina ya vyuo ulivyokuwa umechagua na pia course ulizokuwa umejaza
Alichagua
1. national institute of transport
2. university of dar es salaam
3. dar es salaam university college of education
Nisaidie mkuu
udsm na duce haupo
hiyo nit sina uhakika kama majina washatoa