Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli wangu jf ni mkomboz
Umenichekesha sana bibie
Kwa sababu zipi labda?lady manake mwanaume ama?
Nyie watu wengine mnachezea sana habari ya kifo kirahisi rahisi namna hiyo...umetafuta kwa makengeza yako na mapupa na wakati simu yenyewe tena kimeo.
Kwanini msiwe mna tulia?? Tena bora ungeandika tu naomba mwenye kuweza kunisaidia kuona jina tungekuelewa kuliko kutukurupusha tukizani alshabab wamekudaka wanataka kukuchinja...hovyo kabisa weye...mmmxxx!!
umepanic mwenyewe sasa sijui wewe unakufa vipi? acha pressure jina lipo chuo cha TUDARCO tumaini
sasa sielewi uliangalia mwenyewe au uliangaliziwa jadi iseme jina hamna
Nisaidie s1039/0089/2011 mkuu, nimekosa udsm na duce CAS status in progress