Illuminata Rodgers
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 2,845
- 2,024
Hello doctors
Nitakua na tatizo gani me coz nowdays nakula chakula but sishibi yani nimejikuta mda wote nakulakula tu then nikikaa kidogo njaa,shida itakua ni nn?