Nilikuwa naomba ushauri wanajamii ,
mhawa kware unaweza kuwafuga kama kuku namaanisha mabanda yao maana nimeambiwa wanaruka kama ndege je nawezakuwafuga huria yaani banda na wakawawanatoka nje au ni ndani tu kama kuku wa kizungu? Naombeni msaadawenu Asante.