Msaada:Nama ya kutengeneza banda la kware

Msaada:Nama ya kutengeneza banda la kware

ayunus

Member
Joined
Dec 29, 2014
Posts
6
Reaction score
0
Nilikuwa naomba ushauri wanajamii.

Hawa kware unaweza kuwafuga kama kuku namaanisha mabanda yao maana nimeambiwa wanaruka kama ndege je naweza kuwafuga huria yaani banda na wakawawanatoka nje au ni ndani tu kama kuku wa kizungu.

Naombeni msaada wenu.

Asante.
 
Nilikuwa naomba ushauri wanajamii ,
mhawa kware unaweza kuwafuga kama kuku namaanisha mabanda yao maana nimeambiwa wanaruka kama ndege je nawezakuwafuga huria yaani banda na wakawawanatoka nje au ni ndani tu kama kuku wa kizungu? Naombeni msaadawenu Asante.

Kaka Kwale ni ndege, na wanaruka kama ndege, unashauriwa uwafungie kwenye banda lenye urefu kwenda juu usiozidi mita moja, na vile vile taa zako ziwekee uzio, kwa kuwa hupenda kuzirukia taa usipofanya hivyo utanunua sana taa.

Tunaweza kukusaidia ujenzi wa banda la kwale kutokana na idadi ya Kwale wako na vile vile Tunafanya door to door delivery ya mayai ya Kwale na Vifaranga kwa wakazi wa Dar es salaam na Bagamoyo toa order yako sasa pamoja na mawasiliano.

Vifaranga shilingi 2,800
Mayai 30 (trey) shilingi 18,000
Asante
 
Back
Top Bottom