Unacho sema ni kwl ,japo ni changamoto sana saa zingine kufanya kazi na nduguKuwadhiti abiria wa njiani ni kazi sana..wengi huweka ndugu au watu wanaowaamini wasindikize mabasi
Naonaga kwny mabasi hasa haya ya kichina,pale juu ya dereva,huwa zina function kwlKuna camera zinafungwa ndani ya bus ..ukifuatilia watu wanaohusika na CCTV mbona ma bus mengi tu yamefungwa izo camera
Sent using Jamii Forums mobile app
Ntumie muongozo wa kuwapata ,kama unawajua wahusika hawa ..pleaseKuna camera zinafungwa ndani ya bus ..ukifuatilia watu wanaohusika na CCTV mbona ma bus mengi tu yamefungwa izo camera
Sent using Jamii Forums mobile app