TopStar
Member
- Apr 3, 2017
- 10
- 4
Habari zenu wanajamii forum,bila kupoteza muda nlikiwa naomba maoni na mitazamo mbalimbali juu ya biashara ya mabasi ya mikoani.ningependa kupata ujuzi namna wamiliki wa mabasi ya mikoani hufanya ili kuepusha uwizi wa hela ya mlangoni(hela ya njiani). Pia ningependa kufaham namna uongozi wanavyo upangilia kwanzia ngazi ya chini (mfano: mpakia mzigo)mpaka ngazi ya juu. [HASHTAG]#hebu[/HASHTAG] tusaidiane juu ya hili wana jamii forum
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app