ShukranSOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako
Ningependa kutoa somo la bure kwa wale ambao wanawaza jinsi gani wanaweza kuanza kuagiza bidhaa kutoka china. Bidhaa hizi ni za jumla kwa ajili ya biashara. Utaagiza moja kwa moja kutoka kwa wazalishaji. Kupitia uzi huu utaweza kuona bei halisi za bidhaa pamoja na kujua ni jinsi gani...www.jamiiforums.com