Mfarisayomtata
JF-Expert Member
- Feb 2, 2012
- 474
- 188
Wataalam wa haya mambo hebu nielimisheni mimba inatungwaje kwa mwanamke mara baada ya kusex nae?? Yaani muda baada ya hedhi yake au kabla.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.@[URL="https://www.jamiiforums.com/members/muna hisi shemeji ameshika mimba nini?mbona una wasiwasi?
Alishajifunguaga tayari, nilisexigi nae 10/11/2011 akajifungua 3/7/2011. Asa sielewi ni mwanangu au? Ye anasema wangu.

Kwa tarehe hizo mtoto anaweza kuwa wa kwako, ila kama humwamini wa ubani wako, unaweza kujisalimisha kwenye kipimo cha DNA na ukapata uhakika