Olsea
JF-Expert Member
- Sep 11, 2012
- 466
- 273
Habari wakuu,nina gari aina ya Toyota Belta X niki lock kwa kutumia remote yake ina flash taa za indicator mara 1 na nikitoa lock ina flash taa za indicator mara 2 kimya kimya bila kutoa sauti ya ku beep ya aina yoyote,naomba kujuzwa namna ya ku activate iwe ina beep nikiweka lock au kutoa lock...Asanten sana.