Kwema? Security system unayotumia ni ya Toyota au Aftermarket?
Jaribu Kubonyeza Remote kwa Njia Tofauti. Anza kwa kubonyeza na ushikilie kitufe cha kufunga (lock) kwa sekunde 2 au zaidi. Ikikataa, bonyeza lock mara mbili mfululizo. Baadhi ya magari ya Toyota una-activate sauti ya beep kwa njia hii.