jamani naomba msaada kwani nimejisajili TCU(CAS) Baadaye nikaambiwa nimeshakuwa registered,lakini sasa ninapo log in system ina fail naambiwa nicheck user name na password..sasa kila ninachojaribu ili nifanye application za chuo ninashindwa...Naomba msaada jamani nahisi kuchanganyikiwa..