MSAADA: Namna ya Ku log in ukisha jisajili TCU

MSAADA: Namna ya Ku log in ukisha jisajili TCU

Ally Mussa

New Member
Joined
May 9, 2012
Posts
1
Reaction score
1
jamani naomba msaada kwani nimejisajili TCU(CAS) Baadaye nikaambiwa nimeshakuwa registered,lakini sasa ninapo log in system ina fail naambiwa nicheck user name na password..sasa kila ninachojaribu ili nifanye application za chuo ninashindwa...Naomba msaada jamani nahisi kuchanganyikiwa..
 
aah hawa olas ni washenz hata mimi ilinitokea nikajarib kuongea nao wakashindwa kunisaidia
sasa cha kufanya reset your password afu creat new one then log in itakubal kabisaaaaaaaa!!!!!!
 
Back
Top Bottom