Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

Kaveli

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
5,443
Reaction score
8,903
Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika.

Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing).

Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika.

N.B: Nahitaji video husika urgently for official purpose.

-Kaveli-
 
Katika karne hii ya 21 kweli mwana jf umeshindwa kujiongeza hata kidogo basi kuna youtube tutorials kibao au wacheki whatsup wenyewe.

Ila anyway una elfu hamsini chap nikusaidie maana uvivu wa kujiongeza ni faida kwa wengine.
 
Katika karne hii ya 21 kweli mwana jf umeshindwa kujiongeza hata kidogo basi kuna youtube tutorials kibao au wacheki whatsup wenyewe.

Ila anyway una elfu hamsini chap nikusaidie maana uvivu wa kujiongeza ni faida kwa wengine.

1.0 Kwahiyo kwa uwepo wa YouTube, jukwaa hili ni useless kwa watumiaji?

2.0 Badala ya kuchamba wima, kwanini usiweke hapa hizo YouTube link tutorials tuzione na ziwe msaada kwa wasomaji wengine pia?

3.0 Kwa karne hii ya 21 unashangaa nini 'mwanaJF' ku-prioritize 'JF' badala ya YouTube, kwenye jambo lake lenye kuhitaji majibu via social media ground?

4.0 Wewe 'Uvivu' unau-define vipi, UVIVU ni nini?

4.1 Wewe hapo ulipo unajua namna ya kuunda Bulb ya umeme? If NO, wewe ni mvivu? mjinga? au mshamba?

If YES, basi hiyo comment yako ni moron and vague to this forum endapo walau 'ulipita pita' shule (sio 'kwenda' shule).

4.2 'Uvivu' na 'kujiongeza' ni vitu viwili tofauti both semantically and syntactically. Ni kweli? si kweli?

5.0 ''Elfu hamsini'' nini, maembe? magimbi? maneno? pesa? kama ni pesa, currency ya nchi gani ama ya ukanda upi?

6.0 Hivi huko shule 'mlienda' kusomea ujinga? 😎

7.0 'Niwacheki WhatsApp wenyewe'... walau hapa umeongea as useful and great thinker. Thanks for this tip.

-Kaveli-
 
WhatsApp haihifadhi video calls, so hakuna uwezekano wa kuipata.
 
Back
Top Bottom