Msaada namna ya ku-unlock forgotten pattern OPPO F1s China Version

Jchris14

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2019
Posts
801
Reaction score
2,057
Wakuu salamu!

Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia kumtolea hio pattern.

Nilijaribu kutumia njia ninazotumiaga kwa baadhi ya simu aina zingine kama vile ku "restore factory/Reset" bado haikusaidia, nikajaribu pia kuwasiliana na Oppo kupitia mails na platform moja ila sikupata msaada niliotaka.

Nilipokuwa natumia njia ya "factory reset" before haijaanza kui-erase data ilikuwa inaleta ujumbe kuwa vitu vyote kwenye simu vitafutwa isipokuwa contact, sms, photos na sreen lock ambayo sasa ndio hio pattern.
Details za simu ni hizo hapo chini.

Asanteni.

 
Mods mtanisaidia kama title imekaa vibaya.
 
Tukusaidie wizi?
Mkuu hakuna wizi wowote, changamoto ni kuwa simu ina SCREEN pattern na vilevile ina FINGERPRINT kwa bahati mbaya nimesahau kueleza hapo kwenye thread. Kwa sasa anatumia fingerprint tu kutoa lock, ila kuna muda simu inakuwa inamzingua kwenye baadhi ya customization ikihitaji pattern ndio maana amenipa na hizo details za simu kwenye hizo attachments.
 
Sasa kwann haweke vyote hivyo,fingerprint na screen pattern yaani simu ni ya mkononi na mtumiaji ni wewe afu bado unajilock balaa
Sasa itokee kapata ajali au kaanguka ghafla msamalia mwema ataweza saidia chochote kupitia cm yake angalau kuwapa taarifa watu wake wakaribu?
 
Mmh! Mkuu changamoto ni kijana ambaye ndio kwanza ameanza kumiliki smartphone, sasa yeye ni kujifanya anajua kutumia simu.
 
nenda youtube uandike how to unlock (unaitaja aina ya simu na model yake) zitakuja video tofauti tofauti za maelekezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…