Jchris14
JF-Expert Member
- Aug 15, 2019
- 801
- 2,057
Wakuu salamu!
Kama heading ilivyo, naomba msaada kwa anayejua. Rafiki yangu aliweka pattern kama lock ya simu (aina ya Oppo F1s) siku chache zilizopita, sasa akaniletea ili niweze kumsaidia kumtolea hio pattern.
Nilijaribu kutumia njia ninazotumiaga kwa baadhi ya simu aina zingine kama vile ku "restore factory/Reset" bado haikusaidia, nikajaribu pia kuwasiliana na Oppo kupitia mails na platform moja ila sikupata msaada niliotaka.
Nilipokuwa natumia njia ya "factory reset" before haijaanza kui-erase data ilikuwa inaleta ujumbe kuwa vitu vyote kwenye simu vitafutwa isipokuwa contact, sms, photos na sreen lock ambayo sasa ndio hio pattern.
Details za simu ni hizo hapo chini.
Asanteni.