Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitahidi kila mda uwe unakula pipi au unatafuna big G tena ungepata zile aina ya p.k rangi ya sumer blue zina ladha fulani kama colget ni nzuri ndani ya wiki unasahauNdugu zangu naomba msaada, nitumie njia gani kuacha kuvuta ugoro? Ni Mwaka wa 4 sasa tangu nianze kuvuta baada ya kushauriwa kuwa inatibu shinikizo la damu.
Kwa sasa maji yamenifika shingoni kwani unanikausha mwili wangu balaa.
huo huo wa tumbaku mkuu.am sorry unaweza kutuma ugolo huo ukoje mfano sie tuliokulia vijijini tunajua Ugolo ni tumbaku ilosagwa!
Nilipokuja mjini hapa DSM nkasikia Ugolo sio hiyo tumbaku na sijawai bahatika kuona ila kuna taarifa nilipata kuwa ni 'KUBERI' sijui kama nimelipatia neno!
KIngine ambacho ningependa kujua ni je usipotumia kuna withdrawal sysmptoms unapata kiasi cha kuku force ukajipatie tena huo ugolo?
Kuna addicition zinazopona ila inategemea na aina ya kilevi!
shukrani mkuuJitahidi kila mda uwe unakula pipi au unatafuna big G tena ungepata zile aina ya p.k rangi ya sumer blue zina ladha fulani kama colget ni nzuri ndani ya wiki unasahau
Nunua pkt nyingi weka mfukoni ule mda unajiskia kula huo ugoro chukua kimoja rusha mdomoni tafuna hiyo hali itaisha kabisa ukiweza leta mrejesho mkuu
Sawa mkuu ile stimu inafanya midomo kuregea na mikono kiujumla nashangaa nikitumia nalala sanaJitahidi kila mda uwe unakula pipi au unatafuna big G tena ungepata zile aina ya p.k rangi ya sumer blue zina ladha fulani kama colget ni nzuri ndani ya wiki unasahau
Nunua pkt nyingi weka mfukoni ule mda unajiskia kula huo ugoro chukua kimoja rusha mdomoni tafuna hiyo hali itaisha kabisa ukiweza leta mrejesho mkuu
Hata viongozi wa makanisani ni watumiaji wazuri sanaInategemea kama rafiki zako wala ugoro ni ngumu au kama ugoro upo maeneo yako ngumu sana. Anza kuwa karibu na Mungu. Mawaidha na hisia za maombi yanafanya ukae mbali na maovu