Msaada: Namna ya kuambatanisha Cheti cha Kiapo kwenye uombaji wa ajira za Afya na Ualimu

mudy92

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
671
Reaction score
531
Wakuu Wasalaam,

Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa.

Sijajua nakiweka katika section.

Msaada please
 
Wazo langu, ambatanisha kama PDF 1 pamoja na cheti cha kuzaliwa.
 
Wakuu Wasalaam,

Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa.

Sijajua nakiweka katika section.

Msaada please
ulikipataje chetii cha kiapo maana me piaa majina yanatofautiana
 
Wakuu Wasalaam,

Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa.

Sijajua nakiweka katika section.

Msaada please
Tamisemi au wizara ya afyaaa
 
Back
Top Bottom