mudy92 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 671 Reaction score 531 Apr 27, 2022 #1 Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please
Break Time JF-Expert Member Joined Dec 23, 2014 Posts 283 Reaction score 500 Apr 27, 2022 #2 mudy92 said: Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please Click to expand... Wazo langu, ambatanisha kama PDF 1 pamoja na cheti cha kuzaliwa.
mudy92 said: Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please Click to expand... Wazo langu, ambatanisha kama PDF 1 pamoja na cheti cha kuzaliwa.
mudy92 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 671 Reaction score 531 Apr 27, 2022 Thread starter #3 Makatani said: Wazo langu, ambatanisha kama PDF 1 pamoja na cheti cha kuzaliwa. Click to expand... Thanks
Makatani said: Wazo langu, ambatanisha kama PDF 1 pamoja na cheti cha kuzaliwa. Click to expand... Thanks
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Apr 27, 2022 #4 Natumae mleta mada umepata muongozo...
mudy92 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 671 Reaction score 531 Apr 27, 2022 Thread starter #5 Smart911 said: Natumae mleta mada umepata muongozo... Click to expand... Yes boss Asanteni Sanaa✌️
mind bringer Senior Member Joined Oct 19, 2017 Posts 170 Reaction score 51 Apr 28, 2022 #6 mudy92 said: Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please Click to expand... ulikipataje chetii cha kiapo maana me piaa majina yanatofautiana
mudy92 said: Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please Click to expand... ulikipataje chetii cha kiapo maana me piaa majina yanatofautiana
mudy92 JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 671 Reaction score 531 Apr 28, 2022 Thread starter #7 mind bringer said: ulikipataje chetii cha kiapo maana me piaa majina yanatofautiana Click to expand... Nenda mahakamani iliyopo karibu ukiwa na vyeti vyako wao watakupa muongozo kkaa
mind bringer said: ulikipataje chetii cha kiapo maana me piaa majina yanatofautiana Click to expand... Nenda mahakamani iliyopo karibu ukiwa na vyeti vyako wao watakupa muongozo kkaa
D Dodoma leo JF-Expert Member Joined Jan 7, 2021 Posts 1,336 Reaction score 1,658 Apr 28, 2022 #8 mudy92 said: Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please Click to expand... Tamisemi au wizara ya afyaaa
mudy92 said: Wakuu Wasalaam, Nina CHETI cha Kiapo toka Mahakamani kutokana na majina kutofanana katika vyeti vya Shule, NIDA na Kuzaliwa. Sijajua nakiweka katika section. Msaada please Click to expand... Tamisemi au wizara ya afyaaa