dadamkubwa
Senior Member
- Sep 3, 2013
- 115
- 20
Cjui mnatumia kilo ngapi ila ukitaka nyama iive vizur na ilainika vizuri andaa nyama stek .kata vipande vipana kidogo ila
kisha sagia tangawizi na ki2nguu swaum weka chumv na ndimu kisha weka pilipili manga ya unag na masala kidogo na nyunyiza pilipil ya unga kwambali.na kama unapapai kidogo sagia kwenye nyama.papai inafanya nyama iive kwa wepesi hadi ndani
Ukisha changanya na viungo acha viingie kamahata lisaa au mawili
Kisha choma kwa moto wa wastan acha ikake vizur naimani ikisha iva ladha utakayo ipate kwenye nyama hio hutajuta na unaweza maliza peke ako.jikon

Nicas Mtei we ni noma aisee.................kweli nimepata baba kijacho

Hahahaaha halafu Mama Kijacho hataki kunenepa sasaUnder chef cook Nicas Mtei lazima unenepe wii
Cjui mnatumia kilo ngapi ila ukitaka nyama iive vizur na ilainika vizuri andaa nyama stek .kata vipande vipana kidogo ila
kisha sagia tangawizi na ki2nguu swaum weka chumv na ndimu kisha weka pilipili manga ya unag na masala kidogo na nyunyiza pilipil ya unga kwambali.na kama unapapai kidogo sagia kwenye nyama.papai inafanya nyama iive kwa wepesi hadi ndani
Ukisha changanya na viungo acha viingie kamahata lisaa au mawili
Kisha choma kwa moto wa wastan acha ikake vizur naimani ikisha iva ladha utakayo ipate kwenye nyama hio hutajuta na unaweza maliza peke ako.jikon
Mahitaji: Nyama, chumvi, Tangawizi, kitunguu saumu, vinegar, ajinomoto, soya sauce, mafuta ya kupikia.
Andaa nyama yako. Nyama nzuri kwa kuchoma ni salala ndogo{T-Bone}au sehemu ya kidari. Ikate vipande size unayohitaji. Chukua Tangawizi usagie kwenye nyama au usage pembeni kisha uikamulie maji yake kwenye nyama, weka mafuta ya kupikia kidogo ili viungo vichanganyike. Baada ya tangawizi waweza kuweka garlic. Kisha chukua Vinegar nyunyizia kiasi kidogo kutokana na wingi wa nyama, baada ya vinega chukua soya sauce unyunyizie nayo kiasi kidogo, ili kuongeza ladha zaidi waweza weka Ajinomoto kidogo then weka chumvi kiasi unachohitaji. Baada ya hapo changanya vizuri mchanganyiko huo kisha uache kwa muda kidogo ili nyama ilainike.ikishalainika sasa waweza kuiweka kwenye jiko lenye moto ambao sio mkali sana. Kaa karibu na jiko ili uwe unaigeuza nyama kadri itakavyokuwa inaiva.
Cc watu8, Heaven on Earth, Mike McKee, Nivea, Maxence Melo.
Under chef cook Nicas Mtei lazima unenepe wii
Ahsante Mama Kijacho. Ni muhimu kujua mambo hayo ili kusaidizana ndani ya ndoa
hakika baba kijacho...................naomba this weekend unitayarishie basi
Mpwa hii kitu naona inatufaa sana sisi wazee wa picnic
hahahaa wii nimechekaje LOL..........
mambo yanasemaje lakin
Mmmh! Nimepata hamu leo lazima niwahi kurudi!!