Msaada: Namna ya kuandikishiana mkataba wa bodaboda

Mkuu mambo ni kupeana dili mjini nenda kwa mwanasheria aliye karibu nawe akuandikie mkataba kwa shs 20,000 tu, wao wanajua kila kitu kuhusu hiyo mikataba, tena hata huyo unayempa pikipiki akisikia anapelekwa kwa mwanasheria kusaini mkataba ataheshimu sana makubaliano kuhusu chombo. Kisaikolojia watu wa aina hiyo huwa wanaheshimu sana wanasheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
serikali za mitaa pia lazima awepo shahidi wako na yeye aje na shahidi yake(mdhamini) na kila mtu atachukua copy ya mkataba huku nakala halisi(original)itabaki kwa mwenyekiti wa serikali ya mtaa

Mkuu, naomba nikurekebishe kidogo kwamba huachi nakala halisi mahala popote pale hiyo ni nakala yako halisi na inahitajika kila mahali mfano ukienda benki kutaka mkopo wa kupanua biashara yako.

Nakala halisi ni kama vile vyeti, na nyaraka muhimu kama business plan yako ambazo siku zote ni wewe hukaa nazo.

Copy ndiyo huwa inaachwa kila mahali.
 
sorry mkuu huruhusiwi kuweka dhamana ya mkopo pikipiki ambayo ipo kwenye mkatava
 
Shukran mdau
 
Hongera yako mkuu
 
Asee Mkuu umeongea kitu muhimu na vipi kama mtu unataka kununua kiwanjaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uko vizuri na inaonekana ukiwa kazini hutaki mchezo.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Nchi inatakiwa kuwa na watu kama wewe wengi ilitufanikiwe. Kuna waty wapokutatisha wenzao tamaa na wapo pale pale kimaisha kila siku. Watu wametoka kwa boda boda na bajaj

Sent using Jamii Forums mobile app
Wengine wanakukatisha tamaa ili wafanye wao peke yao,it is a stratergy to reduce competition so you must stay focused in anything your doing.

"the highest risk shoud give the maximum profit"
 
Usimkatishe tamaa mwenzako nmejenga kwa biashara ya bodaboda,nilianza na mbili na sasa nnazo 5 na bajaji 3 kwa kipindi cha miaka 6 na nnampango wa kuwa na kampuni ya usafirishaji na ndio ndoto yangu. Bila mia huweza pata milioni.
Hongera sana mkuu[emoji120]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usimkatishe tamaa mwenzako nmejenga kwa biashara ya bodaboda,nilianza na mbili na sasa nnazo 5 na bajaji 3 kwa kipindi cha miaka 6 na nnampango wa kuwa na kampuni ya usafirishaji na ndio ndoto yangu. Bila mia huweza pata milioni.
Mkuu kwenye nia kuna njia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…