The Teacher
Senior Member
- Feb 2, 2013
- 176
- 81
unaweza kubadili kuna kitu kinaitwa affidavit, mimi nilibadili siku nyingi nimesahau process ngoja waje ila ni rahisi sana kuna hatua za kisheria unatakiwa kufuata. Ukikosa msaada hapa muulize mwanasheria yeyote au Hakimu atakuelezea.Kwa kifupi nilikariri darasa la saba so nilifanyia mtihani jina la mtu mwingine na jina hilo nimeendelea nalo katika level zote za elimu na kwa sasa nimwajiriwa serikalini kutumia jina hilohilo, mwenye kujua utaratibu namna ya kubadirisha jina anijuze please..nataka kutumia jina langu halisi.
Nimepapenda hapoNenda mahakamani na bei yake halali haizidi f kumi.
utatumia jina jipya maana una na affidavit tayari, kama nilivyoshauri juu ongea na mwanasheria mimi nlifanya zamani na sikumbuki ila nilisubmit affidavit sehemu ya kazi toka wakati huo natumia jina jipya.
Unajaza affidavit form zinazopatikana mahakamani kisha unaapa kwa mwanasheria yeyote aliyesajiriwa halafu proccess zingine utaelekezwa. Ila unapokwenda kubadilisha usiseme kuwa ulisomea jina la mtu mwingione, bali unaweza kusema kuwa nataka nitumie majina ya ukoo aidha wa mama au baba, depend on.
Ninyi no wazee was kangaroo court kweli. hiyo ndio njia ya kumshauri MTU kubadilisha jina kweli?? Hatua ya affidavit in kweli lakini atabaki na hiyo affidavit imsaidie mini wakati ana msjina mengine? kuna kitengo kinaitwa registration of documents arfhi house, itamchukua wiki tatu kupata certificate itakayo tambulika hats kwenye chop ya munispal.
Ahsanteni sana jamani nadhani nishapata mwanga sasa, wapi pa kuanzia na wapi nitaendelea.
mkuu majina yaliyoko kwenye academic certificates kuanzia std 7 mpaka ngazi ya chuo kikuu yanawezekana kubadilishika kweli?
Naomba mwongozo hapo...
cc Petro E. Mselewa Nakioze Miwatamu
asante sana mkuu kwa ufafanuzi mzuri.Mkuu Excel,asante kwa swali lako. Majina yaliyo katika vyeti hayawezi kubadilishwa kwa maana ya kupewa vyeti vyenye majina mengine.Lakini,kupitia nyaraka maalum za kisheria,waweza kubadili majina hayo ili utambulike utakavyo ukibaki kutumia vyeti hivyohivyo kama kawaida. Nyaraka husika hupambanua majina uyatakayo na kutambulisha umma unavyotaka kutambulika.
Mkuu Excel,asante kwa swali lako. Majina yaliyo katika vyeti hayawezi kubadilishwa kwa maana ya kupewa vyeti vyenye majina mengine.Lakini,kupitia nyaraka maalum za kisheria,waweza kubadili majina hayo ili utambulike utakavyo ukibaki kutumia vyeti hivyohivyo kama kawaida. Nyaraka husika hupambanua majina uyatakayo na kutambulisha umma unavyotaka kutambulika.
100% msaidie kwani amekuwa mkweli kwa kujipambanua.Jina hubadilishwa kwa nyaraka iitwayo Deed Poll ambayo husajiliwa unapopasema. Tuwasiliane nikuandalie hiyo nyaraka
cc The Teacher
Kwa kifupi nilikariri darasa la saba so nilifanyia mtihani jina la mtu mwingine na jina hilo nimeendelea nalo katika level zote za elimu na kwa sasa nimwajiriwa serikalini kutumia jina hilohilo, mwenye kujua utaratibu namna ya kubadilisha jina anijuze please..nataka kutumia jina langu halisi.
Mi mwenyewe naitaji kubadili majina Yang matatu nitumie majina ya asili .niAnzie WAP?
Kama uko Dar tutafutane.
Na kama mtu say yuko form three anataka kubadili majina. Anaweza sajiliwa form four kwa majina mapya?